Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mabadiliko ya Tabianchi

Mabadiliko ya Tabianchi
Ujumbe kutoka kwa Katibu Mkuu

Lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linataka uhifadhi wa mazingira kwa kuchukua hatua muafaka. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio  Guterres akiwa ziarani katika nchi zilizoko ukanda wa pasifiki anapaza sauti ya kile kinachopaswa kufanywa kwa ubia ili kulinda sayari dunia kwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.

UNAMID/Albert González Farran

Mabadiliko ya tabianchi yameathiri wote ikiwemo wafugaji- Bi Leina

Jamii za wafugaji ni kundi ambalo namna ya kujipatia kipato inategemea mifugo na mifugo inatagemea lishe ambayo uwepo wake hivi sasa unakumbwa na madhara ya mabadiliko ya tabianchi. Madhara ya aina hiyo yamesababisha wanaharakati kujitokeza kuhakikisha kuwa ufugaji unaendelea na mifugo inapata malisho bora. Nchini Kenya Agnes Leina ambaye ni mwanzilishi wa shirika lisililo la kiserikali la Illaramatak Community Concerns linalenga jamii za wafugaji. Kwa mujibu wa Bi.

Sauti
3'25"