Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tathmini ya miaka 30 ya harakati za kusongesha haki za wanawake - Balozi Mwongella

Tathmini ya miaka 30 ya harakati za kusongesha haki za wanawake - Balozi Mwongella

Pakua

Jumamosi hii hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mkutano wa ngazi ya juu kuhusu masuala ya wanawake, tathmini ya miaka 30 ya harakati za kusongesha haki za wanawake. Sasa Sabrina Said amezungumza na aliyekuwa Katibu Mkuu wa mkutano huo Balozi Gertrude Mongella kupata tafakuri yake katika katika makala hii.

Audio Credit
Flora Nducha/Sabrina Moshi
Audio Duration
7'39"
Photo Credit
UN News