Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetunga sera jumuishi zinazotetea haki za watu wenye ulemavu - Abeida Rashid Abdallah

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetunga sera jumuishi zinazotetea haki za watu wenye ulemavu - Abeida Rashid Abdallah

Pakua

Mahojiano hayo leo inamulika juhuddi za Serikali ya Mapinzudi ya Zanzibar katika kuwajumuisha watu wenye ulemavu kwenye masuala mbalimbali katika jamii, Abeida Rashid Abdallah Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto ya kisiwani humo hivi karibununi akiwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kushiriki mkutano wa 69 wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani CSW69 alizungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii ungana nao

Audio Credit
Anold Kayanda/Flora Nducha
Audio Duration
6'27"
Photo Credit
UN News