Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukiwekeza kiuchumi kwa mwanamke basi umewekeza katika jamii: Janet Mbene mshiriki CSW69

Ukiwekeza kiuchumi kwa mwanamke basi umewekeza katika jamii: Janet Mbene mshiriki CSW69

Pakua

Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake duniani CSW69 unakunja jamvi leo hapa makao makuu ya Umoja wa  Mataifa New York Marekani baada ya mjadala wa wiki mbili kutathimini hatua zilizopigwa na changamoto zilizosalia miaka 30 baada ya azimio la Beijing la usawa wa kijinsia nah atua za utekelezaji. 

Flora Nducha amebahatika kuzungumza na mmoja wa wakishiri wa mkutano huo kutoka asasi za kiraia nchini Tanzania

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
5'42"
Photo Credit
UN News/Sharon Jebichii