Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Methali: Mchama ago hanyele, huenda akawia papo

Methali: Mchama ago hanyele, huenda akawia papo

Pakua

Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili mtaalam wetu hii leo ni Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anachambua methali, Mchama ago Hanyele, huenda akawia papo.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Dkt. Mwanahija Ali Juma
Sauti
59"
Photo Credit
UN