17 Juni 2022

17 Juni 2022

Pakua

Hii leo Ijumaa, Leah Mushi anakuleta jarida la habari likimulika: 
1.    Watoto kutawanywa duniani kote kutokana na machafuko, taarifa kutoka UNICEF 
2.    Mhamasishaji wa kijamii atumia ngoma na kipaza sauti kuhamasisha wazazi na walezi kupeleka watoto wao kupata chanjo. 
3.    Makala anakupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako Byobe Malenga amemulika utumikishaji watoto jimboni Kivu Kusini. Mtoto katoa ushuhuda. 
4.    Mashinani tunakwenda Geneva Uswisi ni harakati za Umoja wa Mataifa za kudhibiti matumiz iya silaha za vilipuko maeneo ya miji na majiji. Karibu! 
 

Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
11'23"