Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake na wasichana kila kona ya dunia wanaendelea kuteseka-Guterres

Wanawake na wasichana kila kona ya dunia wanaendelea kuteseka-Guterres

Pakua
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema pamoja na kuwepo kwa maazimio na sheria nyingi za kuhimiza usawa kwenye jamii, wanawake na wasichana kila kona ya dunia wanaendelea kuteseka, kunyanyasika na kuonewa na yote haya ni kutokana na kuwepo kwa mizizi ya mfumo dume na uchu wa madaraka.
Audio Credit
Leah Mushi/Anold Kayanda
Sauti
2'6"
Photo Credit
Warren Bright/UNFPA Tanzania