Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mabadiliko ya tabianchi yanahatarisha sana afya ya akili na ustawi-WHO

Mabadiliko ya tabianchi yanahatarisha sana afya ya akili na ustawi-WHO

Pakua

Mabadiliko ya tabianchi yanahatarisha sana afya ya akili na ustawi ndio maana hii leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO limetoa muhtasari wa sera inayo himiza nchi kujumuisha usaidizi wa afya ya akili katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.

Audio Credit
Leah Mushi/Flora Nducha
Audio Duration
3'
Photo Credit
Unsplash/Yosi Prihantoro