Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

1 Juni 2022

1 Juni 2022

Pakua

Jaridani Jumatano Juni Mosi-2022 na Leah Mushi

-COVID-19 na vita ya Ukraine vyakwamisha leo la upatikanaji wa nishati kwa wote:UN

-UNICEF Rwanda yawezesha uanzishwa wa vituo vya kulelea watoto wa wafanyakazi wa migodini.

-Kwenye makala ni mradi wa tathmini ya upimaji stadi za maisha unaotekelezwa na taasisi ya Milele Zanzibar Foundation na kwa kushirikiana na shirika la Uwezo Tanzania ili kuchagiza maendeleo endelevu.

Kwenye mashinani Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limefadhili mradi wa mafunzo ya udhibiti wa majanga kwa viongozi wa wilaya mbalimbali zinazopatikana katika eneo la bonde la Ziwa Kyoga. Mmoja aliyenufaika na mafunzo hayo ni Dorcus Akite ambaye ni Chifu wa Sub Count ya Namasale, wilaya ya Amolatar.

 

Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
13'7"