Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kazi kubwa inaendelea kuyaondoa kabisa mabomu ya kutegwa ardhini Sudan Kusini-UNMAS

Kazi kubwa inaendelea kuyaondoa kabisa mabomu ya kutegwa ardhini Sudan Kusini-UNMAS

Pakua

Wakati hatua kubwa imepigwa katika kuondoa na kutegua mabomu yote ya kutegwa ardhini na mabaki mengine ya vifaa vya milipuko ya vita nchini Sudan Kusini, baadhi ya jamii za nchi hiyo bado ziko hatarini kutokana na uwepo wa mabomu hayo. Moja ya jamii hizo ni  Gondokoro karibu na mji mkuu Juba, ambako kwa mujibu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya huduma za kutegua mabomu ya kutegwa ardhini UNMAS kazi kubwa inaendelea kuyaondoa kabisa mabomu hayo.

Audio Credit
Leah Mushi/Flora Nducha
Audio Duration
2'58"
Photo Credit
UNMAS/Irina Punga