Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

16 Mei 2022

16 Mei 2022

Pakua

Katika jarida la Jumatatu Mei 16, 2022 na Leah Mushi

Mradi wa mafunzo wa ILO wawainua wafanyabiashara Turkana magharibi, Kenya

UNMAS yaendelea kunusuru maisha ya watu Sudan Kusini kwa kutegua mabomu ya kutegwa ardhini

 

Makala ni kutoka Dar es Salaam Tanzania ambako Philbert Alexander wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa ameingia katika mitaa ya Dar es Salaam kuzungumza na baadhi ya wasichana na wanawake kuhusu namna wanavyouelewa usawa wa kijinsia.

Mashinani tutakuwepo Ukraine kuangazia  athari za vita kwa wakulima na Umoja wa Mataifa unavyowasaidia.

 

Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
12'52"