Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Kosa moja halimwachii Mke

Neno la Wiki- Kosa moja halimwachii Mke

Pakua

Leo katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kituo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "KOSA MOJA HALIMWACHI MKE”

Audio Credit
Leah Mushi/Josephat Gitonga
Audio Duration
1'26"
Photo Credit
UN