Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR yatoa wito kwa msaada kwa ajili ya jamii zinazaowahifadhi wakimbizi Cameroon

UNHCR yatoa wito kwa msaada kwa ajili ya jamii zinazaowahifadhi wakimbizi Cameroon

Pakua

Kamisha mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR Filippo Grandi ametoa wito wa msaada na kuwajengea mnepo wakimbizi wa ndani, wakimbizi na jamii zinazowahifadhi katika makazi ya Bogo kwenye jimbo la kaskazini mwa Cameroon. 

Audio Credit
Leah Mushi/ Flora Nducha
Audio Duration
2'18"
Photo Credit
UN Video