Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mei 3 2022

Mei 3 2022

Pakua

Jaridani Mei 3, 2022 na Leah Mushi-

-Udukuzi wa kidijitali na kuwanyamazisha kisiasa ni tishio kwa waandishi wa habari: UN

-MINUSCA yazindua kampeni ya kusaidia upatikanaji wa amani CAR

-Watoto milioni 10 wako hatarini kutokana na ukame Pembe ya Afrika:UNICEF

-Kwenye makala ni ziara katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa iliyofanywa na mwanamuziki kutoka Nigeria na mshindi wa tuzo ya Grammy, Burna Boy.

-Katika mashinani ni ujumbe wa kutoka kwa msemaji wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Ravina Shamdasani, akizungumzia vitendo vya vyombo vya habari kufungiwa huko Mali pamoja na uhuru wa kujieleza.

Audio Credit
Leah Mushi
Sauti
13'