Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF imeimarisha huduma za usafi na kujisafi shuleni moja Kinshasa, DRC

UNICEF imeimarisha huduma za usafi na kujisafi shuleni moja Kinshasa, DRC

Pakua

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa msaada kutoka eneo la mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels, limeimarisha huduma za usafi na kujisafi WASH, kwenye shule moja mjini Kinshasa na hivyo kuwezesha wanafunzi kujifunza katika mazingira safi na salama.

Audio Credit
Leah Mushi/ Assumpta Massoi
Audio Duration
1'51"
Photo Credit
© UNICEF/Jean-Claude Wenga