Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mratibu wa UN wa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Kusini amependekeza kufanya kazi na asasi za kiraia.

Mratibu wa UN wa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Kusini amependekeza kufanya kazi na asasi za kiraia.

Pakua

Ziara maalum iliyofanywa na Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa misaada ya Kibinadamu nchini Sudan Kusini, Sara Beysolow Nyanti, katika eneo la Malakal, nchini humo imebadili mtazamo wa aina ya misaada inayohitajika na wananchi  walioathiriwa na ghasia na majanga ya asili.

Audio Credit
Leah Mushi/ Grace Kaneiya
Audio Duration
2'25"
Photo Credit
© WFP/Eulalia Berlanga