Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Nyunyuta

Neno la Wiki- Nyunyuta

Pakua

Hii leo mchambuzi wetu ni Onni Sigalla,Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania ,BAKITA akifafanua maana ya neno, Nyunyuta. Anahusisha neno hili na unyeshaji wa mvua. Ikiwa ni mvua ya manyunyu unasema, mvua nyunyuta. Karibu!

Audio Credit
Grace Kaneiya/Onni Sigalla
Audio Duration
58"
Photo Credit
UN