Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kampeni yasaidia kuondokana na fikra potofu kuhusu chanjo dhidi ya Covid 19 Kisumu, Kenya

Kampeni yasaidia kuondokana na fikra potofu kuhusu chanjo dhidi ya Covid 19 Kisumu, Kenya

Pakua

Nchini Kenya harakati za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF za kuondoa fikra potofu katika kaunti ya Kisumu kuhusu chanjo dhidi ya Corona au COVID-19 zimezaa matunda na sasa hata wale waliokuwa wamesita kupata chanjo hiyo wameanza kupata. 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Thelma Mwadzaya
Audio Duration
2'16"
Photo Credit
© UNICEF/Zahara Abdul