Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi kutoka Ukraine watafutiwa wahamishwa kwenye nchi ya tatu ya Romania

Wakimbizi kutoka Ukraine watafutiwa wahamishwa kwenye nchi ya tatu ya Romania

Pakua

Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, mamia ya wakimbizi kutoka Ukraine waliokimbilia Moldova, hasa wazee, familia zenye watoto wadogo na wanawake, wanapewa kipaumbele katika uhamisho wa kwenda nchi ya tatu, Romania kutoka Moldova kwa kuwa Moldova nchi iliyoko kwenye mpaka wa kusini mwa Ukraine ina rasilimali chache za kukabiliana na maelfu ya wakimbizi ambao wamevuka mpaka katika wiki za hivi karibuni.

Audio Credit
Flora Nducha/ Assumpta Massoi
Audio Duration
1'57"
Photo Credit
© UNICEF/Ioana Moldovan