23 MACHI 2022
Pakua
Katika Jarida la Jumatano Machi 23, 2022 kuna habari kwa ufupi zilkilenga mateso yanawowakibili wanawake wakati wa kujifungua, ujumbe wa Katibu Mkuu katika siku ya utabiri wa hali ya hewa duniani na wito wa ILO kwa Russia kukomesha uvamizi Ukraine pia tunaangazia kikao cha 66 cha kamisheni ya hali ya wanawake duniani kinachoendelea hapa Makao makuu ya Umoja wa Mataifa na hususan hatua zilizopigwa na Tanzania katika kusongesha usawa wa kijinsia, kwenye mashinani tutasikia kuhusu msaada linalotoa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Poland.
Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
12'39"