Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Methali: Undugu wa nazi hukutana chunguni

Neno la Wiki- Methali: Undugu wa nazi hukutana chunguni

Pakua

Je wafahamu maana ya methali "undugu wa nazi hukutana chunguni.? Nazi ya Kilwa Masoko na nazi ya Mwanerumango, au nazi ya Darajani na nazi ya Paje? Basi ungana na mchambuzi wetu hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar, BAKIZA.

Audio Credit
Flora Nducha/Dkt. Mwanahija Ali juma
Audio Duration
1'5"
Photo Credit
UN