Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

13 Desemba 2021

13 Desemba 2021

Pakua

Karibu kusikiliza jarida, kila Jumatatu tunakuletea mada kwa kina ambapo leo tunaangazia Kikosi cha wanajeshi kutoka Uingereza kinachohusika na upelelezi wa masafa marefu au LRRG chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka amani nchini Mali, MINUSMA

Lakini pia utapata fursa ya kusikiliza habari kwa ufupi leo zikiangazia masuala mbalimbali ikiwemo jukwaa lililozinduliwa leo la kuwasaidia watoto wanaugua saratani kupata dawa katika nchi za kipato cha kati na cha chini. 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
10'34"