Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mchakato wa haki za kisheria Uganda unahitaji ushirikiano wa kila mtu:Tume ya haki

Mchakato wa haki za kisheria Uganda unahitaji ushirikiano wa kila mtu:Tume ya haki

Pakua

Leo dunia ikiadhimisha siku ya haki za binadamu iliyobeba maudhui “usawa :kuziba pengo la kutokuwepo usawa na kusongesha mbele haki za binadamu” wananchi nchini Uganda  wanataka hatua zichukuliwe zaidi ili kuhakikisha huduma za vyomvbo vya sheria zinatenda haki kwa kila mwananchi bila kujali uwezo wake wa kifedha au wadhifa wake , hatua ambazo ni muhumu katika kulinda na kusongesha haki za binadamu.

Je, wanachi, kamisheni ya haki za na polisi wana mtazamo gani kuhusu suala hili? na ni hatua gani zinazochukuliwa na vyombo vya sheria kuhakikisha wanainchi wanatendewa haki?

Basi ungana na mwandishi wetu wa Uganda John Kibego katika mada hii anayeanza kwa mahojiano na mwanchi Idi Mugenyi, mkazi wa mjini Hoima akizungumzia kuhusu haki za binadamu na mfumo wa sheria hasa jeshi la polisi

(MADA KWA KINA)

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
7'20"
Photo Credit
UN/ John Kibego