Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tusaidie vijana waache uhalifu kwa kuwapa mbinu mbadala ; Wango Michael

Tusaidie vijana waache uhalifu kwa kuwapa mbinu mbadala ; Wango Michael

Pakua

Mwandishi wetu wa Kenya, Jason Nyakundi anafanya mahojiano na Wango Michael kutoka shirika la Reformers Sports and Community Services kwenye mtaa wa Kayole  mjini Nairobi. Shirila la Reformers sports and community Services huwasaidia vijana kuacha uhalifu na  kufanya mambo ya kujitegemea maishani.

Audio Credit
Jason Nyakundi
Audio Duration
3'7"
Photo Credit
Picha ya maktaba ya UM