Watafiti wakifanya kazi kwa pamoja na kushirikiana na sekta nyingine, maendeleo ya wananchi yatapatikana
Pakua
Mkutano unaohusu utafiti, sayansi teknolojia na uvumbuzi katika kukuza ushirikiano na maendeleo katika nchi za Afrika Mashariki ikiwa ni sehemu ya mbio za kuyafikia malengo ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu, SDGs, ulioandaliwa na Kamisheni ya Sayansi na Teknolojia ya Jumuiya hiyo kwa kushirikiana na vyuo vya elimu ya juu umehitimishwa leo jijini Bunjumbura kwa kunuia kuwapa nafasi watafiti katika kukuza uchumi.
Banyankimbona Gaspard ni Mwenyekiti wa Baraza la vyuo vikuu Afrika Mashariki ambao ni wadau wa mkutano huo
Mwenyekiti Banyankimbona anaeleza ni kwa nini utafiti umefungamanishwa na sayansi na teknolojia katika ukuzaji wa uchumi
Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
1'52"