Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

14 OKTOBA 2021

14 OKTOBA 2021

Pakua

Katika Jarida la Habari za UN hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Janga la corona au COVID-19 limerudisha nyuma jitihada za kutokomeza kifua kikuu au Tb limeonya shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO

-Kuelekea siku ya wanawake wa kijijini hapo kesho Oktoba 15 utawasikia wanawake kutoka Tanzania wakielezea changamoto za COVID-19 katika kujikimu kimaisha

-Takwimu mpya zionaonyesha wagonjwa wa COVID-19 wamepungua lakini bado kuna nchi kama Burundi na Korea Kaskazini hazijaanza kutoa chanjo dhidi ya gonjwa hilo

-Makala leo inatupeleka Uganda kwa mkimbizi ambaye sasa anachuuza mitumba ili kujikimu kimaisha baada misaada kwa wakimbizi kupunguzwa

-Mashinani leo tunaelekea Kenya katika hospitali ya Kapenguria kaunti ya Pokot

Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration
15'59"