Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ushiriki wa vijana katika utunzaji wa mazingira nchini Uganda

Ushiriki wa vijana katika utunzaji wa mazingira nchini Uganda

Pakua

John Kibego hii leo anaangazia ushiriki wa vijana katika uhifadhi wa mazingira nchini Uganda wakati huu wengi wao wakiwa majumbani baada ya tassisi za elimu kufungwa karibu mwezi moja sasa, ikiwa ni moja ya njia za kudhibiti kudhibiti mlipuko mpya wa COVID-19
 

Audio Credit
Leah Mushi/John Kibego
Audio Duration
3'16"
Photo Credit
UN/ John Kibego