Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juni 22 2021

Juni 22 2021

Pakua

Katika Jarida la Habari za UN leo utasikia kuhusu Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hii leo limezindua rasmi mwaka huu wa 2021 kuwa mwaka wa kimataifa wa wahudumu wa afya na wanaohudumia wagonjwa ikiwa ni kutambua mchango wao katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona. Pia utasikia kuhusu ripoti ya hali ya watoto. 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
14'