Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kujifungua kwa njia ya upasuaji kwashika kasi: WHO yaonya

Kujifungua kwa njia ya upasuaji kwashika kasi: WHO yaonya

Pakua

Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO inasema kiwango cha wanawake kujifungua kwa njia ya upasuaji kinaongezeka duniani kwa idadi inayoashiria taratibu zisizo za lazima za kiafya na zinazoweza kuletya madhara. Flora nducha amefuatilia ripoti hiyo na kuandaa taarifa hii 

 

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Flora Nducha
Sauti
3'29"
Photo Credit
© UNICEF/Rahani Kaur