Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

17 Juni 2021

17 Juni 2021

Pakua

Katika Jarida hii leo utasikia kuhusu Ujumbe wa Katibu Mkuu wa UN kuhusu kulinda Mazingira,  WHO yaonya ongezeko la wajawazito wanojifungua kwa njia ya Upasuaji, pia UNHCR inaendesha mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia Venezuela

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
12'45"