Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

14 Juni 2021

14 Juni 2021

Pakua

Karibu usikilize jarida la habari ambapo hii leo Assumpta Massoi anakuletea mada kwa kina inayomulika harakati za kutumia nishati jadidifu katika kufanikisha utekelezaji wa lengo namba 7 la Malengo ya Maendeleo endelevu, SDGs ya Umoja wa Mataifa.  

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
11'56"