26 Mei 2021
Pakua
Hii leo jaridani Leah Mushi anaanzia na habari kuhusu haki za binadamu hususan wahamiaji wanaokufa maji huko bahari ya Mediteranea. Kisha Sudan Kusini ambako mradi wa UNIDO umeleta nuru na anakwenda Burundi ambako Ziwa Tanganyika maji yamefurika na kufurusha watu. Makala ni Kenya kwao Teknowgalz na mashinani ni Zambia! karibu.
Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
11'11"