Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

14 MEI 2021

14 MEI 2021

Pakua

Jaridani leo na Flora Nducha  anakuletea Habari kwa ufupi, Mada kwa kina ikimulika hali ya watoto nchini India ambako kunashuhudiwa sintofahamu kufuatia awamu ya pili ya COVID-19 na katika kujifunza kiswahili inachambuliwa methali, "ibilisi wa mtu ni mtu".

Audio Credit
Flora Nducha
Sauti
11'9"