Skip to main content

15 APRILI 2021

15 APRILI 2021

Pakua

Katika jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika watia saini makubaliano ya kusongesha mkataba wa biashara huru barani Afrika ulioanza kutekelezwa rasmi mwaka huu wa 2021

-Nchini Burkina Faso adha ya wazazi wanawake kushindwa kufanyakazi kutokana na kukosa walezi wa watoto imepata dawa baada ya Benki ya Dunia na UNICEF kuanzisha mradi wa vituo vya kulelea watoto

-Mkimbizi kutoka Syria nchini Uturuki atumia talanta yake ya sanaa kujikumbusha nyumbani amnako anaona matumaini ya kurejea yanazidi kufifia

-Maskala leo inatupeleka Kenya kwa mtaalamu wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi 

-Na mashinani tunaelekea Jamhuri ya afrika ya Kati CAR kupata matokeo ya uwepo wa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa.

Audio Credit
UN News/ Grace Kaneiya
Sauti
14'41"