Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

18 MACHI 2021

18 MACHI 2021

Pakua

Katika Jarida maalum la Umoja wa Mataifa hii leo, Grace Kaneiya anakuletea

-Salamu za rambirambi  zaendelea kutolewa kutoka Umoja wa Mataifa, mashirika yake na viongozi mbalimbali kufuatia kifo cha Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kilichotokea jana Machi 17

- Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Profesa Kennedy Gastorn amesema Tanzania, Afrika na jumuiya ya kimataifa imepoteza kiongozi mwenye uthubutu na daima ataenziwa John Magufuli

-Wananchi wa Tanzania wamuomboleza Rais wao aliyeaga dunia jana Machi 17

-Na mashinani leo utasiki ujumbe wa rambirambi kutoka kwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kufuatia kifo cha Rais Magufuli wa Tanzania.

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
12'38"