Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Dola za Marekani bilioni 1.2 zinahitajika kwa ajili ya msaada muhimu kwa zaidi ya wakimbizi milioni 2.2 wa Sudan Kusini

Dola za Marekani bilioni 1.2 zinahitajika kwa ajili ya msaada muhimu kwa zaidi ya wakimbizi milioni 2.2 wa Sudan Kusini

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, na wadau wake wa misaada wamezindua ombi la dola za Marekani bilioni 1.2 kwa ajili ya msaada muhimu wa kibinadamu kwa zaidi ya wakimbizi milioni 2.2 wa Sudan Kusini, theluthi mbili wakiwa ni watoto.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ John Kibego
Audio Duration
2'16"
Photo Credit
WFP/Marwa Awad