Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Huduma za afya zahitajika haraka ili kudhibiti atahri za COVID-19-Mashirika UN

Huduma za afya zahitajika haraka ili kudhibiti atahri za COVID-19-Mashirika UN

Pakua

Ripoti mpya ya pamoja iliyotolewa leo na mashirika ya Umoja wa Mataifa imesema huduma za afya lazima zirejeshwe haraka na kuimarishwa ili kudhibiti athari za janga la corona au COVID-19 kwa familia zisizojiweza na zilizo hatarini. 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Flora Nducha
Audio Duration
3'
Photo Credit
UNICEF/Omid Fazel