Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mhitimu wa kidato cha 4 Kenya, Daniel Nderitu atengeneza redio na kusaidia watoto wakati wa COVID-19

Mhitimu wa kidato cha 4 Kenya, Daniel Nderitu atengeneza redio na kusaidia watoto wakati wa COVID-19

Pakua

Ubunifu, hususani wa vijana katika sayansi na teknolojia, ni moja ya mambo ambayo yanatajwa kuwa yatasaidia kusongesha lengo kuu la ufikiaji wa malengo 17 Umoja wa Mataifa ya maendeleo endevu, SDGs. Nchini Kenya, licha ya kutokuwa na eliu yoyote kuhusu mambo ya vifaa vya eletroniki, kijana Daniel Nderitu mwenye umri wa miaka 25 kutoka eneo la Bahati kaunti ya Nakuru, anamiliki kituo cha radio kinachoweza kupeperusha matangazo umbali wa kilomita 10 ambacho amekiunda kwa kutumia vifaa vikuukuu vya kielektroniki. Mwandishi wetu wa Kenya, Jason Nyakundi amezungumza naye kuhusu safari na ndoto yake maishani.

Audio Credit
Assumpta Massoi/Jason Nyakundi
Photo Credit
UN/ Jason Nyakundi