Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la wiki: Maana ya maneno yahusianayo kisemantiki

Neno la wiki: Maana ya maneno yahusianayo kisemantiki

Pakua

Na leo katika neno la Wiki tunakwenda visiwani Zanzibar, Tanzania kupata ufafanuzi wa maana ya maneno matano yanayohusiana kisemantiki"MTUNDU,UCHOKOZI, MAUDHI, KUKASIRIKA NA HAMAKI". Mchambuzi wetu ni Dkt. Mwanahija Ali Juma kutoka BAKIZA .

Audio Credit
Grace Kaneiya/Mwanahija Ali Juma
Audio Duration
58"
Photo Credit
UN