Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

12 Februari 2021

12 Februari 2021

Pakua

Hii leo jaridani ni mada kwa kina tunakwenda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kumulika kikosi kipya cha Tanzania, TANZBATT_8 katika kikosi cha kujibu mashambulizi (FIB) cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo MONUSCO. Tuna habari kwa ufupi ikimulika Tigray, Ethiopia na Yemen sambamba na mwaka mpya wa kichina unaoanza hii leo salamu ikiwa, Chun Jie Kuai Le! Kama kawaida ijumaa ni wakati wa kujifunza Kiswahili na tunakwenda Zanzibar hususan BAKIZA kufahamishwa maana ya maneno matano. Mwenyeji wako leo ni Grace Kaneiya akipeperusha jarida kutoka Nairobi, Kenya! Karibu!

Audio Credit
GRACE KANEIYA
Audio Duration
10'22"