Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la wiki- Methali: Kitanda usicholalia hujui kunguni wake!

Neno la wiki- Methali: Kitanda usicholalia hujui kunguni wake!

Pakua

Hii leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili tunamulika methali isemayo, "Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake." Mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya. 

Audio Credit
Assumpta Massoi/Josephat Gitonga
Audio Duration
1'42"
Photo Credit
UN