Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kufanyia kazi nyumbani kumedhihirisha mazingira duni ya kazi

Kufanyia kazi nyumbani kumedhihirisha mazingira duni ya kazi

Pakua

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la kazi la Umoja wa Mataifa ILO, imesema ongezeko la watu kufanyia kazi majumbani kutokana na janga la corona au COVID-19 limedhihirisha mazingira duni ya kazi ambayo wafanyakazi wengi ambao wamekuwa wakifanyiakazi nyumbani hata kabla ya janga hilo wanayapitia na sasa inataka walindwe.

Audio Credit
Flora Nducha- Grace Kaneiya
Audio Duration
2'59"
Photo Credit
ILO Photo/Kevin Cassidy