Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- MCHAPO

Neno la Wiki- MCHAPO

Pakua

Leo katika neno la wiki ambapo ni fursa ya kujifunza lugha ya Kiswahili, tunapata ufafanuzi wa maana za neno"MCHAPO" na mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA .

 

Audio Credit
Flora Nducha/Onni Sigalla
Audio Duration
1'7"
Photo Credit
UN