Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

05 JANUARI 2021

05 JANUARI 2021

Pakua

Katika Jarida la Habari za UN hii leo Flora Nducha anakuletea

-Wakimbizi kutoka Tigray Ethiopia waendelea kumiminika Sudan na mahitaji yao yanaongezeka lasema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR

-Kutana na Muhamiaji Mohammed Bushara ameye alienda Libya kusaka mustakbali bora lakini sasa amerejea nyumbani kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM na Muungano wa Ulaya Eu na kuanzisha biashara ya duka la vipodozi

-Nchini Zimbabwe kijana Nkosi amekuwa muhamasishaji mkubwa wa mapambano zaidi ya mabadiliko ya tabia nchi akisema ameshuhudia athari zake kwake na kwa rafiki zake.

-Makala leo inatupeleka Uganda kwa kina mama ambao wanawachagiza wasichana na kuwafundisha ujasiriliamali hasa wakati huu wa COVID-19 ili wajikimu kimaisha.

-Na mashinani utamsikia balozi wa kudumu wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa akizungumzia ujumbe wa taifa lake wakati huu walipochaguliwa kuwa miongioni mwa wanachana wasio wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
11'32"