Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wenyeji vijijini Equatoria Magharibi nchini Sudan Kusini wafurahia ujio wa UNMISS kuwatembelea

Wenyeji vijijini Equatoria Magharibi nchini Sudan Kusini wafurahia ujio wa UNMISS kuwatembelea

Pakua

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaohudumu katika Jimbo la Equatoria Magharibi nchini Sudan Kusini hivi karibuni wakati wakiwa kwenye doria ya umbali mrefu, wametembelea jamii kadhaa za vijijini ili kufahamu kuhusu changamoto zao na kuwaelimisha kuhusu COVID-19

Audio Credit
Flora Nducha- Anold Kayanda
Audio Duration
1'52"
Photo Credit
UNMISS