Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa UNCDF waleta nuru kwa wakulima Tanzania

Mradi wa UNCDF waleta nuru kwa wakulima Tanzania

Pakua

Nchini Tanzania Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la mitaji UNCDF na wadau wamezindua mpango wa kutumia teknolojia ya simu ya kiganjani kumwezesha mkulima mkoani Kigoma magharibi mwa taifa hilo kuweza kupata pembejeo za kilimo wakati anapohitaji. 

Audio Credit
Flora Nducha- Grace Kaneiya
Audio Duration
3'3"
Photo Credit
UN News/Assumpta Massoi