Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Janga la corona limesababisha athari kubwa kwa elimu

Janga la corona limesababisha athari kubwa kwa elimu

Pakua

Janga la corona au COVID-19 limesababisha athari kubwa katika elimu ya watoto kote duniani na kuwachanja walimu dhidi ya COVID-19 ni hatua muhimu ya kurejesha elimu ya watoto hao katika msitari unaotakiwa amesema Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF. 

Audio Credit
Flora Nducha- Anold Kayanda
Audio Duration
2'4"
Photo Credit
BioNTech