Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chanda chema huvikwa pete ni yali ya WFP mshindi wa tuzo ya Nobel 2020

Chanda chema huvikwa pete ni yali ya WFP mshindi wa tuzo ya Nobel 2020

Pakua

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la mpango wa chkula la Umoja wa Mataifa WFP David Beasly ameiasa dunia kutumia utariji wake kuhakikisha inazuia baa la njaa duniani wakati akipokea rasmi tuzo ya amani ya Nobel ambayo shirika hilo lilitangazwa kushinda mwezi Oktoba.

Audio Credit
Flora Nducha- Anold Kayanda
Audio Duration
2'39"
Photo Credit
WFP/Hugh Rutherford