MINUSCA yashiriki ulinzi kuelekea uchaguzi CAR
Pakua
Kuelekea uchaguzi wa rais na wabunge nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR tarehe 27 mwezi huu wa Desemba, shehena ya vifaa vya uchaguzi vimewasili kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Bangui ikiwa ni msaada kutoka Afrika Kusini na walinda amani wa Umoja wa Mataifa pamoja na serikali wanashirikiana kwenye ulinzi wa vifaa hivyo.
Audio Credit
Flora Nducha- Anold Kayanda
Sauti
2'6"