Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana wachukua hatua kuchagiza wenzao kushiriki katika maswala ya kijamii Tanzania

Vijana wachukua hatua kuchagiza wenzao kushiriki katika maswala ya kijamii Tanzania

Pakua

Nchini Tanzania, vijana waanzilishi wa asasi ya “They Need Us Initiative” yenye lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika jamii zao kuifanya dunia kuwa mahali bora pa kuishi, wametoa wito kwa wadau mbalimbali kuwaunga mkono katika mkutano wao utakaofanyika mwishoni mwa wiki ijayo. 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
1'55"
Photo Credit
UN SDGs